π§ MSANGU PLUMBING SERVICES π§ Karibu kwa huduma za kitaalamu za ufundi wa mabomba Dar es Salaam. β Ufungaji wa sinki, mixer na shower β Matengenezo ya mabomba yanayovuja β Ufungaji wa tanki za maji β Ufungaji na matengenezo ya choo β Kuzibua mifereji na mabomba β Huduma za dharura π° Bei zetu zinaanzia TSh 20,000 tu kulingana na aina ya kazi. βοΈ Kazi safi na ya uhakika βοΈ Huduma ya haraka βοΈ Bei nafuu βοΈ Uaminifu na ubora π Temeke, Dar es Salaam π 0683 724 929 Wasiliana nasi leo kwa ushauri na makadirio ya bei bila malipo.
This provider hasn't uploaded any work samples.
Be the first to book and leave a review.