"Karibu Mwangaza Cleaning Service. Tunatoa huduma za Deep Cleaning, General Cleaning, Fumigation na House/Office Cleaning kwa ubora wa hali ya juu. Tunajali usafi, muda na kuridhika kwa mteja. Timu yetu imejipanga kuhakikisha mazingira yako yanakuwa safi, salama na yenye harufu nzuri. Wasiliana nasi kwa huduma bora na za kuaminika."
This provider hasn't uploaded any work samples.
Be the first to book and leave a review.