Yocodece General Company Limited Ni Kampuni iliyosajiliwa kisheria Brela, kufanya shughuli /Huduma mbalimbali kwa jamii,Huduma zitolewazo ni:- 🔶Huduma ya Usafi wa Kina (Deep Cleaning ) Majumbani,Hospitalini,Viwandani,Maofisini. 🔶Huduma Ya Ufukizaji na Upulizaji (Fumigation ) na Udhibiti na Uangamizaji wa Wadudu waharibifu (Pest Control ) Majumbani na sehemu za Biashara kwa Ubora na Utaalamu wa Hali ya juu. 🔶Uzoaji Taka Majumbani na sehemu za Biashara na kwenye Taasisi mbalimbali pamoja na Usimamizi na utunzaji wa Mazingira (Solid Waste Management). 🔶Uuzaji wa Vifaa vya Vifaa vya Ofisi (Office consumable Supply ). 🔶Uuzaji wa Vifaa vya Usalama mahali pa kazi (Ppe).Pamoja na Uuzaji wa Uniform za aina zote. 🔶Utengenezaji na uuzaji wa bidhaa za Sabuni aina zote. Lengo langu ni kusaidia Vijana na Akina Mama wengi kujiinua kiuchumi na Jamii Kutunza Mazingira na kuishi kwenye Mazingira safi na Salama na kujipatia kipato. Mawasiliano: Call/Whatsapp 0755 446 161 /0715993330 na 0747999969. Email:- youthdevelopment73@yahoo.com. Napatikana Chanika Dar es salaam









Be the first to book and leave a review.