21 verified providers ready to help
Said omary
VerifiedSaid omary ,Electrical repair
Starting at
TSh 30,000
Nasoro said libenanga
VerifiedHonest with customer Hardworking Clenneless and good work arrengment
Ahmadi seif athumani
VerifiedStarting at
TSh 2,000
Home Tanzania Market
VerifiedStarting at
TSh 200,000
Jonas
VerifiedStarting at
TSh 10,000
Ally salum khamis
VerifiedI'm ICT technician certified in all this
Starting at
EMA UMEME
VerifiedEMA UMEM FUNDI WA KUAMINIKA Nidhamu | Ubora | Usafi | Usalama *Nafanya ✓Wiring mpya za majumbani n.k ✓Ufungaji wa taa aina zote na vifa. ✓Matengenezo ya haraka. ✓Ukaguzi wa usalama. ✓Mifumo ya ulinzi -Cctv camera -Electrical fance -Alarm system Nipigie: 0618921164/0890136441 BEI YA KIRAFIKI | NIPO TAYARI 24/7 Karibu sana Boss
SAMSON BUDOTEA KIDAHA
VerifiedMimi ni fundi umeme mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 11 katika kazi za usimikaji, matengenezo na ukaguzi wa mifumo ya umeme kwenye nyumba, biashara na maeneo ya viwandani. Nina uwezo wa kusoma na kutafsiri michoro ya umeme, kufunga vifaa vya umeme kwa usalama, pamoja na kutatua hitilafu za mifumo ya umeme kwa ufanisi. Katika kipindi chote cha kazi yangu, nimejijengea sifa ya kufanya kazi kwa umakini, kuzingatia viwango vya usalama, kuheshimu muda wa kazi na kutoa huduma bora kwa wateja. Pia nina uwezo wa kufanya kazi binafsi au kwa kushirikiana na timu katika miradi mbalimbali ya umeme.
Alex Mchunguzi Josephat
VerifiedJina kamili: Alex Josephat Jina la kazi/Brand: Mugoa Studios Service (Category): Photography & Videography Location: Zinga, Bagamoyo, Pwani Simu: 0683211555 Maelezo mafupi ya uzoefu: Mimi ni mpiga picha na videographer kutoka Mugoa Studios, ninatoa huduma za picha na video kwa matukio mbalimbali kama harusi, birthday, biashara, promosheni na shughuli nyingine. Pia nafunga CCTV camera Na mengine mengi
Starting at
TSh 250,000
TSh 25,000
Starting at
TSh 300,000
Starting at
Contact for price
Starting at
TSh 100,000