27 verified providers ready to help
Akida Hakimu Akida
Tunatoa huduma za usafi wa kitaalam
Starting at
TSh 15,000
Halima Juma utali
KARIBU,1.huduma ni usafi wa Kina bei 20elfu na kuendelea 2.dobi service nguo zote bei 15elfu na kuendelea 3,home organization 30elfu na kuendelea HUDUMA YAKI PROFESSIONAL 5 ~star ⭐️ NAWAPENDA WOTE
TSh 5,000
Yusuph Salim
🏡 NYUMBA NADHIFU ✨ Tunatoa huduma za usafi wa kisasa kwa nyumba, ofisi na kumbi ndani ya Dar es Salaam. ✅ Deep Cleaning ✅ Move In & Move Out Cleaning ✅ Office Cleaning ✅ Usafi kabla & baada ya sherehe ✅ Usafi wa kila kona kwa umakini mkubwa Tunafanya kazi kwa uaminifu, ubora na kuhakikisha mazingira yako yanakuwa safi, yenye harufu nzuri na yenye utulivu wa kweli. 📞 Call & WhatsApp: 0789 064 545
TSh 1,000
AZIZA ALLY OMARY
Spotless Clean Services Dar es Salaam.kitunda Tunafua Sofa, Mazulia na kufanya Deep Cleaning kwa mashine za kisasa. Huduma zetu: ✅ Kuondoa madoa sugu na harufu mbaya ✅ Tunakuja kwako nyumbani/ofisini ✅ Bei nafuu, kazi ya uhakika Piga/WhatsApp: 0683043783 Karibu tukuhudumie.
Contact for price
Khamis mfulu
Finishing na Decor zote
TSh 150,000
DAUD LUUMBA
Salome Magambo
KARIBU AFYA CLEANER'S TUNATOA HUDUMA YA USAFI WA AINA ZOTE PIA HUDUMA YA USHERS AU WAHUDUMU KWENYE SHEREHE AU MKUTANO NA MATUKIO MBALI MBALI ,KWENYE CATERING MISIBA NK
Joan
Passionate cleaner
TSh 20,000
Hawa Hamisi Manonga
Natasha mohamed yusuph
Nafanya usafi majumbani kama kuosha vyombo,kufua,kudeki nyumba nzima
Yassin Ramadhani ismaili
Karibu yassinsofacleaner Tunafanya usafi wa .Sofa .Carpet .zuria .bed sofa .window cleaner .fumigation .house keeping Karibu kwa huduma bora na lafiki
HILARY VENANSI SHIRIMA
TSh 10,000