Alex Mchunguzi Josephat
VerifiedJina kamili: Alex Josephat
Jina la kazi/Brand: Mugoa Studios
Service (Category): Photography & Videography
Location: Zinga, Bagamoyo, Pwani
Simu: 0683211555
Maelezo mafupi ya uzoefu: Mimi ni mpiga picha na videographer kutoka Mugoa Studios, ninatoa huduma za picha na video kwa matukio mbalimbali kama harusi, birthday, biashara, promosheni na shughuli nyingine.
Pia nafunga CCTV camera
Na mengine mengi
- Photo Editing
- Branding Design
- Photography
- +7 more