124 verified providers ready to help
Mbelwa peter
VerifiedStarting at
TSh 150,000
SAMSON BUDOTEA KIDAHA
VerifiedMimi ni fundi umeme mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 11 katika kazi za usimikaji, matengenezo na ukaguzi wa mifumo ya umeme kwenye nyumba, biashara na maeneo ya viwandani. Nina uwezo wa kusoma na kutafsiri michoro ya umeme, kufunga vifaa vya umeme kwa usalama, pamoja na kutatua hitilafu za mifumo ya umeme kwa ufanisi. Katika kipindi chote cha kazi yangu, nimejijengea sifa ya kufanya kazi kwa umakini, kuzingatia viwango vya usalama, kuheshimu muda wa kazi na kutoa huduma bora kwa wateja. Pia nina uwezo wa kufanya kazi binafsi au kwa kushirikiana na timu katika miradi mbalimbali ya umeme.
MALIKI Ramadhani
VerifiedNahitaji kazi ya aina yoyote ile
Ayubu Marwa Waryubha
VerifiedKwa kazi bora wasiliana nami 0752 056 396
Starting at
Contact for price
David Sande
VerifiedPeace
Emanuel Joseph
VerifiedFast and effective
Heavenlight cleaning services
VerifiedResidencial cleaning Business/commercial builidings cleaning House cleaning Office cleaning Deep cleaning Carpet & sofa cleaning Windows &tiles cleaning
FAHAD IDRISSA
VerifiedMY NAME IS FAHAD IDRISSA AHMED, AC TECHNICIAN WITH A VC 3 VOCATIONAL CERTIFICATE IN REFRIGERATION AND AIR CONDITIONING AND EXPERIENCE OF OVER 2 YEARS WORKING IN DAR ES SALAAM.
eria msangu
Verified🔧 MSANGU PLUMBING SERVICES 🔧 Karibu kwa huduma za kitaalamu za ufundi wa mabomba Dar es Salaam. ✅ Ufungaji wa sinki, mixer na shower ✅ Matengenezo ya mabomba yanayovuja ✅ Ufungaji wa tanki za maji ✅ Ufungaji na matengenezo ya choo ✅ Kuzibua mifereji na mabomba ✅ Huduma za dharura 💰 Bei zetu zinaanzia TSh 20,000 tu kulingana na aina ya kazi. ✔️ Kazi safi na ya uhakika ✔️ Huduma ya haraka ✔️ Bei nafuu ✔️ Uaminifu na ubora 📍 Temeke, Dar es Salaam 📞 0683 724 929 Wasiliana nasi leo kwa ushauri na makadirio ya bei bila malipo.
MRA CLEANERS
VerifiedTunafanya usafi deep cleaning,nyumba nzima,vyumba viwili,nyumba yakuamia,vilevile tunafua nguo tunapasi tunaosha vyombo tunapanga vitu ndani..karibuni sana
MADUHU BULE MBAGA
VerifiedWe deliver expectional plumbing services at 24hrs without compromising on quality. Site visit 30,000
Lusekelo Mwambeso
VerifiedYocodece General Company Limited Ni Kampuni iliyosajiliwa kisheria Brela, kufanya shughuli /Huduma mbalimbali kwa jamii,Huduma zitolewazo ni:- 🔶Huduma ya Usafi wa Kina (Deep Cleaning ) Majumbani,Hospitalini,Viwandani,Maofisini. 🔶Huduma Ya Ufukizaji na Upulizaji (Fumigation ) na Udhibiti na Uangamizaji wa Wadudu waharibifu (Pest Control ) Majumbani na sehemu za Biashara kwa Ubora na Utaalamu wa Hali ya juu. 🔶Uzoaji Taka Majumbani na sehemu za Biashara na kwenye Taasisi mbalimbali pamoja na Usimamizi na utunzaji wa Mazingira (Solid Waste Management). 🔶Uuzaji wa Vifaa vya Vifaa vya Ofisi (Office consumable Supply ). 🔶Uuzaji wa Vifaa vya Usalama mahali pa kazi (Ppe).Pamoja na Uuzaji wa Uniform za aina zote. 🔶Utengenezaji na uuzaji wa bidhaa za Sabuni aina zote. Lengo langu ni kusaidia Vijana na Akina Mama wengi kujiinua kiuchumi na Jamii Kutunza Mazingira na kuishi kwenye Mazingira safi na Salama na kujipatia kipato. Mawasiliano: Call/Whatsapp 0755 446 161 /0715993330 na 0747999969. Email:- youthdevelopment73@yahoo.com. Napatikana Chanika Dar es salaam
Starting at
Contact for price
Starting at
TSh 400,000
Starting at
TSh 1,000
Starting at
TSh 10,000
Starting at
TSh 15,000
Starting at
TSh 50,000
Starting at
TSh 20,000
Starting at
TSh 200,000
Starting at
TSh 50,000
Starting at
TSh 4,000