

Bidhaa hii ya Dr Lolo Rapid Glow ina kazi kuu ya kutibu na kung’arisha ngozi kwa haraka. Inasaidia kuondoa chunusi, madoa meusi, melasma na mabaka ya jua huku ikisawazisha rangi ya ngozi. Pia inalisha na kutoa mwanga wa asili ili ngozi ionekane safi, nyororo na yenye kung’ara.
No reviews yet.








