

Vivida EXTRA GLOW Brightening Lotion. Kazi yake kuu ni kung'arisha ngozi na kuipa mng'aro wa asili huku ikisaidia kufifisha madoa na kutoa rangi moja. Ina Collagen, Niacinamide na Vitamini E vinavyolisha, kulainisha na kulinda ngozi isiwe na ukavu na ukongwe mapema.
No reviews yet.








