

MICHANNA FACE CREAM, ni krimu ya uso inayolenga kunywesha ngozi kwa kina na kuirudishia unyevu asili. Inasaidia kufifisha madoa meusi na kulinganisha rangi ya ngozi ili ionekane safi na yenye afya. Inafaa kwa matumizi ya kila siku na inatoa ngozi laini yenye mng'ao wa asili.
No reviews yet.








