

BYNCE GLOW ni whipped body butter na moisturizer iliyotengenezwa na asali na maziwa ya soya. Kazi yake kuu ni kulainisha na kunyonyesha ngozi kwa kina ili kuondoa ukavu na kuacha ngozi ikiwa na unyevu. Pia husaidia kuboresha mng'aro wa asili wa ngozi na kuifanya iwe laini, yenye afya na kung'ara.
No reviews yet.



ABEID COSMETICS








