19 verified providers ready to help
Fatuma Rashidi Athumani
VerifiedNitaipenda Kaz na nitakuwa mchapakaz na kujituma naomba unisaidie kunipa nafas ili niweze kuonesha uzoefu wang
Starting at
TSh 20,000
HILARY VENANSI SHIRIMA
VerifiedStarting at
TSh 200,000
Halima Juma utali
VerifiedKARIBU,1.huduma ni usafi wa Kina bei 20elfu na kuendelea 2.dobi service nguo zote bei 15elfu na kuendelea 3,home organization 30elfu na kuendelea HUDUMA YAKI PROFESSIONAL 5 ~star ⭐️ NAWAPENDA WOTE
AZIZA ALLY OMARY
VerifiedSpotless Clean Services Dar es Salaam.kitunda Tunafua Sofa, Mazulia na kufanya Deep Cleaning kwa mashine za kisasa. Huduma zetu: ✅ Kuondoa madoa sugu na harufu mbaya ✅ Tunakuja kwako nyumbani/ofisini ✅ Bei nafuu, kazi ya uhakika Piga/WhatsApp: 0683043783 Karibu tukuhudumie.
Salome Magambo
VerifiedKARIBU AFYA CLEANER'S TUNATOA HUDUMA YA USAFI WA AINA ZOTE PIA HUDUMA YA USHERS AU WAHUDUMU KWENYE SHEREHE AU MKUTANO NA MATUKIO MBALI MBALI ,KWENYE CATERING MISIBA NK
Khamis mfulu
VerifiedFinishing na Decor zote
Starting at
Yusuph Salim
Verified🏡 NYUMBA NADHIFU ✨ Tunatoa huduma za usafi wa kisasa kwa nyumba, ofisi na kumbi ndani ya Dar es Salaam. ✅ Deep Cleaning ✅ Move In & Move Out Cleaning ✅ Office Cleaning ✅ Usafi kabla & baada ya sherehe ✅ Usafi wa kila kona kwa umakini mkubwa Tunafanya kazi kwa uaminifu, ubora na kuhakikisha mazingira yako yanakuwa safi, yenye harufu nzuri na yenye utulivu wa kweli. 📞 Call & WhatsApp: 0789 064 545
Joan
VerifiedPassionate cleaner
Starting at
Natasha mohamed yusuph
VerifiedNafanya usafi majumbani kama kuosha vyombo,kufua,kudeki nyumba nzima
Hawa Hamisi Manonga
VerifiedStarting at
TSh 50,000
Doricas
VerifiedI have strong experience in cleaning services, including deep cleaning, laundry, and fumigation. I am highly trustworthy, reliable, and committed to delivering quality work.
Winifrida Rwaibebe Ruila
Verified"Karibu Mwangaza Cleaning Service. Tunatoa huduma za Deep Cleaning, General Cleaning, Fumigation na House/Office Cleaning kwa ubora wa hali ya juu. Tunajali usafi, muda na kuridhika kwa mteja. Timu yetu imejipanga kuhakikisha mazingira yako yanakuwa safi, salama na yenye harufu nzuri. Wasiliana nasi kwa huduma bora na za kuaminika."
Starting at
TSh 20,000
Starting at
Contact for price
Starting at
TSh 50,000
TSh 150,000
Starting at
TSh 25,000
TSh 150,000
Starting at
TSh 20,000
Starting at
TSh 30,000
Starting at
TSh 100,000