8 verified providers ready to help
HILARY VENANSI SHIRIMA
VerifiedStarting at
TSh 50,000
Salome Magambo
VerifiedKARIBU AFYA CLEANER'S TUNATOA HUDUMA YA USAFI WA AINA ZOTE PIA HUDUMA YA USHERS AU WAHUDUMU KWENYE SHEREHE AU MKUTANO NA MATUKIO MBALI MBALI ,KWENYE CATERING MISIBA NK
Heavenlight cleaning services
VerifiedResidencial cleaning Business/commercial builidings cleaning House cleaning Office cleaning Deep cleaning Carpet & sofa cleaning Windows &tiles cleaning
Yusuph Salim
Verified🏡 NYUMBA NADHIFU ✨ Tunatoa huduma za usafi wa kisasa kwa nyumba, ofisi na kumbi ndani ya Dar es Salaam. ✅ Deep Cleaning ✅ Move In & Move Out Cleaning ✅ Office Cleaning ✅ Usafi kabla & baada ya sherehe ✅ Usafi wa kila kona kwa umakini mkubwa Tunafanya kazi kwa uaminifu, ubora na kuhakikisha mazingira yako yanakuwa safi, yenye harufu nzuri na yenye utulivu wa kweli. 📞 Call & WhatsApp: 0789 064 545
Hawa Hamisi Manonga
VerifiedStarting at
TSh 50,000
Yassin Ramadhani ismaili
VerifiedKaribu yassinsofacleaner Tunafanya usafi wa .Sofa .Carpet .zuria .bed sofa .window cleaner .fumigation .house keeping Karibu kwa huduma bora na lafiki
Winifrida Rwaibebe Ruila
Verified"Karibu Mwangaza Cleaning Service. Tunatoa huduma za Deep Cleaning, General Cleaning, Fumigation na House/Office Cleaning kwa ubora wa hali ya juu. Tunajali usafi, muda na kuridhika kwa mteja. Timu yetu imejipanga kuhakikisha mazingira yako yanakuwa safi, salama na yenye harufu nzuri. Wasiliana nasi kwa huduma bora na za kuaminika."
Lusekelo Mwambeso
VerifiedYocodece General Company Limited Ni Kampuni iliyosajiliwa kisheria Brela, kufanya shughuli /Huduma mbalimbali kwa jamii,Huduma zitolewazo ni:- 🔶Huduma ya Usafi wa Kina (Deep Cleaning ) Majumbani,Hospitalini,Viwandani,Maofisini. 🔶Huduma Ya Ufukizaji na Upulizaji (Fumigation ) na Udhibiti na Uangamizaji wa Wadudu waharibifu (Pest Control ) Majumbani na sehemu za Biashara kwa Ubora na Utaalamu wa Hali ya juu. 🔶Uzoaji Taka Majumbani na sehemu za Biashara na kwenye Taasisi mbalimbali pamoja na Usimamizi na utunzaji wa Mazingira (Solid Waste Management). 🔶Uuzaji wa Vifaa vya Vifaa vya Ofisi (Office consumable Supply ). 🔶Uuzaji wa Vifaa vya Usalama mahali pa kazi (Ppe).Pamoja na Uuzaji wa Uniform za aina zote. 🔶Utengenezaji na uuzaji wa bidhaa za Sabuni aina zote. Lengo langu ni kusaidia Vijana na Akina Mama wengi kujiinua kiuchumi na Jamii Kutunza Mazingira na kuishi kwenye Mazingira safi na Salama na kujipatia kipato. Mawasiliano: Call/Whatsapp 0755 446 161 /0715993330 na 0747999969. Email:- youthdevelopment73@yahoo.com. Napatikana Chanika Dar es salaam
Starting at
TSh 100,000
Starting at
Contact for price
Starting at
TSh 45,000
Starting at
TSh 30,000
Starting at
TSh 70,000
Starting at
TSh 35,000