

RAPHA Vanilla & Niacinamide Brightening Shower Gel,ni sabuni ya kuogea iliyoundwa kung'arisha na kutoa mwanga kwenye ngozi. Ina Niacinamide na Vanilla inayosaidia kufanya ngozi ionekane nyororo, yenye kung'ara na yenye afya. Pia inatoa harufu laini ya vanilla na kuacha ngozi ikiwa safi, laini na yenye unyevu baada ya kuoga.
No reviews yet.



ABEID COSMETICS








