

Seti ya Goodal Green Tangerine VITA-C inasaidia kusafisha uso kwa kina na kutoa uchafu bila kukaushwa, huku Serum yake ikipunguza madoa meusi na kufifisha alama. Vitamini C iliyopo inang’arisha na kupa ngozi mwanga wa asili, na kuifanya ionekane yenye afya na yenye usawa. Ni nzuri kwa mtu anayetaka ngozi safi, iliyo wazi na yenye mng’aro wa kila siku.
No reviews yet.



ABEID COSMETICS








