

BLISS Beauty Face Cream yenye kazi kuu ya kung'arisha na kutoa weupe ngozi. Inasaidia kuondoa chunusi, madoa meusi na kutoa mwonekano wa kung'aa. Pia inapinga uzee na mikunjo kwa kuburudisha na kunyanyua ngozi ili ionekane na afya na laini zaidi.
No reviews yet.



ABEID COSMETICS








