

Vivida Extra Glow Oil, kazi yake ni kutoa unyevu na kung'arisha ngozi kwa kuipa mwanga wa asili. Inasaidia kulainisha ngozi, kupunguza ukavu na kutoa mwonekano wenye afya na mng'aro. Pia inafanya kazi ya kulisha ngozi na kuifanya ionekane safi, laini na yenye mvuto zaidi.
No reviews yet.



ABEID COSMETICS








