

Vaseline Sunlit Glow Gel Oil Vanilla Cocoa, ni mafuta ya kung'arisha mwili ambayo hutoa unyevuaji wa kina kwa kutumia Ultra-Hydrating Lipids na 100% Pure Cocoa Butter ili kuifanya ngozi iwe laini na isikauke. Pia ina chembe za kung'ara zinazotoa mwonekano wa "glow" wa asili wa jua huku ikitoa harufu nzuri ya Vanilla Cocoa. Hutumika kupaka mwili wote ili kuupa mng'aro, kuboresha muonekano wa ngozi na kuifanya ionekane yenye afya na ya kifahari.
No reviews yet.



ABEID COSMETICS








