

Sabuni ya Dr Lolo "Rapid Glow" ina kazi kuu ya kung'arisha ngozi kwa haraka na kuondoa weusi, chunusi na makovu. Ina Glutathione, Vitamin C, papai na karoti ambavyo husafisha na kusaidia ngozi kupata mng'ao sawa. Pia hutibu chunusi na kutoa mwonekano angavu wa asili kwa matumizi ya uso na mwili mzima.
No reviews yet.



ABEID COSMETICS








