

Vita B3 HYDRA GLOW Moisturizing Body Shower Jelly, ina kazi kuu ya kusafisha mwili kwa upole huku ikitoa unyevu mkubwa. Ina Aloe Vera na Vitamin E ambavyo hutuliza ngozi, hulisha na kuizuia isikauke, na Vitamin B3 husaidia kung’arisha na kutoa mng’aro wa asili. Matumizi yake yanaacha ngozi ikiwa laini, yenye maji na yenye afya baada ya kuoga.
No reviews yet.



ABEID COSMETICS








