

Vita B3 Brightening & Smoothing Body Scrub, ina kazi kuu ya kufanya ngozi kung'ara na kuwa laini. Walnut Shell Powder hufanya kazi ya kusugua na kuondoa seli zilizokufa, mikwaruzo na uchafu kwenye viwiko, magoti na visigino. Niacinamide au Vitamin B3 husaidia kufifisha madoa, kurekebisha rangi ya ngozi na kutoa mng'aro wa asili huku ikilainisha.
No reviews yet.



ABEID COSMETICS








