

Neutrogena Oil-Free Shower Gel, ina kazi yake kuu ni kusafisha ngozi ya mwili kwa undani bila kuacha mafuta au kuziba vinyweleo. Imetengenezwa kwa teknolojia ya MicroClear ambayo husaidia kuondoa uchafu, jasho, na mafuta ya ziada yanayosababisha chunusi mwilini, hasa mgongoni na kifuani. Kando na kusafisha, jeli hii hupunguza na kutuliza ngozi kavu kwa kuihifadhi unyevu, na kuiacha ikiwa laini, safi na yenye kung'aa. Inapendekezwa na madaktari wa ngozi kwa sababu haina mafuta, haikawashi ngozi, na inafaa kwa matumizi ya kila siku kwa watu wenye ngozi inayopata chunusi. Baadhi ya chupa pia zinaonyesha ina viambato kama Glutathione, Collagen na Biotin vinavyosaidia kung'arisha ngozi, kupunguza madoa meusi, na kuondoa weusi usio wa kawaida ili ngozi ionekane safi na yenye afya zaidi.
No reviews yet.



ABEID COSMETICS








