

ELINNA GLOW ACNE SOAP ni sabuni iliyotengenezwa kwa formula ya Glutathione na mafuta ya Tea Tree, kazi yake kuu ni kuondoa chunusi, madoa meusi na mafuta usoni. Hufanya ngozi kuwa nyeupe, laini na yenye mng'ao wa asili, huku SPF 50++ yake ikiilinda ngozi dhidi ya mionzi ya jua.
No reviews yet.



ABEID COSMETICS








