

4K Plus 5X Whitening Night Cream yenye Goji Berry. Kazi yake kuu ni kung'arisha na kusaidia kutoa madoa meusi usiku ili ngozi iwe na rangi moja na kung'ara zaidi. Ina Collagen na Glutathione vinavyolainisha, kulisha na kupunguza dalili za uzee huku vikiboresha unyevu wa ngozi.
No reviews yet.



ABEID COSMETICS








