

MAGIC EXTRA GLOW Whitening Body Cream ina umuhimu mkubwa kwa sababu inasaidia kutoa mng’aro wa asili, kumoisturize ngozi na kuondoa madoa meusi ili rangi yako iwe sawa. Inalisha ngozi kwa kina na kuifanya ionekane laini, yenye afya na inayong’ara kila siku. Kwa hivyo inakupa kujiamini zaidi na kuifanya ngozi yako ionekane safi na iliyotunzwa vizuri.
No reviews yet.



ABEID COSMETICS








