

Executive Glow, ni fomula ya kifahari ya kutunza ngozi inayolenga kutibu chunusi, kufifisha madoa meusi na makovu ya chunusi, pamoja na kupunguza mikunjo ya macho. Inasaidia kutoa mng'ao wa asili na kuifanya ngozi ionekane yenye afya, laini na yenye kung'ara. Inafaa kwa aina zote za ngozi.
No reviews yet.



ABEID COSMETICS








