

Mafuta ya Missfiah 24K Gold, husaidia kuondoa mikunjo, kuburudisha na kung’arisha ngozi huku yakipunguza dalili za kuzeeka kwa mwonekano wa ujana. Missfiah Vitamin C, hulenga kutoa mng’aro ndani ya siku 7, kufifisha madoa meusi, kurekebisha rangi ya ngozi na kulinda na jua kwa SPF 45. Missfiah Retinol ni matibabu ya mikunjo na ngozi iliyoharibiwa na jua, husaidia kuburudisha ngozi na kuirudisha kuwa laini na yenye afya zaidi.
No reviews yet.



ABEID COSMETICS








